Dikirim oleh GeniusApps Technologies, LLC
1. Tafuta gari ina tumia state-of-the-art Artificial intelligence patent pending technolojia kuchunguza na kurekodi maegesho ya eneo lako wakati wowote uki egesha gari lako, bila hatua yoyote inahitajika kwa upande wako.Kitu pekee una faa kufanya ni kuzindua programu, na itakuwa bado ipo kwa nyuma (kwenye background) na ikifanya kazi yake.Kama umesahau ambapo uli egesha gari lako, na una jiuliza “gari langu likowapi?”- angaria Tafuta gari, na itakupa jibu la hili swali.
2. Ukitumia Tafuta gari hauta wahi kuuliza swali hili tena! Tafuta gari ina rekodi eneo la egesho lako MOJA KWA MOJA, wakati wowote ukiegesha gari lako.
3. Hakuna kubonyeza mabuto, hakuna hassle.Tafuta gari inachunguza eneo la maegesho na ukamilishi moja kwa moja.
4. Ndiy, umevisoma haki, moja kwa moja! Hakuna Buttons (mabuto) kusukuma (kubonyeza) au nyongeza nyingine zaidi, kama ilivyo katika programu (Apps) za kawaida.
5. Programu pekee ambayo inajua ambapo gari yako iko, hata kama haujui.
6. Hayo ni yote.Hakuna mambo yakutafuta gari lako tena.
7. Programu inakuezesha kuona matukio ya maegesho kwa BURE na inatoa $1.99 katika programu ya wakati mmoja-inaboresha na kuonesha maegesho ya matukio yalio pita.
8. Mara ngapi umejiuliza: “wapi nimeegesha gari langu?”.
9. Na haiwezi kutuma data kwa mtu yeyote, hivyo siri yako ni kamilifu.
10. Tafuta gari ni jibu rahisi na ni ufanisi wa swali ya tatizoìgari langu liko wapi?î tatizo lime tatuliwa jumla kwa jumla.
11. Kanusho: Kuendelea kutumia GPS ikifanya kazi (kwene background) inaweza kupunguza betri ya simu.
Periksa Aplikasi atau Alternatif PC yang kompatibel
App | Unduh | Peringkat | Diterbitkan oleh |
---|---|---|---|
Tafuta gari | Dapatkan Aplikasi atau Alternatif ↲ | 0 1
|
GeniusApps Technologies, LLC |
Atau ikuti panduan di bawah ini untuk digunakan pada PC :
Pilih versi PC Anda:
Persyaratan Instalasi Perangkat Lunak:
Tersedia untuk diunduh langsung. Unduh di bawah:
Sekarang, buka aplikasi Emulator yang telah Anda instal dan cari bilah pencariannya. Setelah Anda menemukannya, ketik Tafuta gari - Pata gari kila wakati! di bilah pencarian dan tekan Cari. Klik Tafuta gari - Pata gari kila wakati!ikon aplikasi. Jendela Tafuta gari - Pata gari kila wakati! di Play Store atau toko aplikasi akan terbuka dan itu akan menampilkan Toko di aplikasi emulator Anda. Sekarang, tekan tombol Install dan seperti pada perangkat iPhone atau Android, aplikasi Anda akan mulai mengunduh. Sekarang kita semua sudah selesai.
Anda akan melihat ikon yang disebut "Semua Aplikasi".
Klik dan akan membawa Anda ke halaman yang berisi semua aplikasi yang Anda pasang.
Anda harus melihat ikon. Klik dan mulai gunakan aplikasi.
Dapatkan APK yang Kompatibel untuk PC
Unduh | Diterbitkan oleh | Peringkat | Versi sekarang |
---|---|---|---|
Unduh APK untuk PC » | GeniusApps Technologies, LLC | 1 | 2.1.0 |
Unduh Tafuta gari untuk Mac OS (Apple)
Unduh | Diterbitkan oleh | Ulasan | Peringkat |
---|---|---|---|
Free untuk Mac OS | GeniusApps Technologies, LLC | 0 | 1 |
Langkah-langkah untuk mengatur pc Anda dan mengunduh Tafuta gari app di Windows 11:
TrakCar - Find Where & for How Long You Parked Car
Gdzie parkuję? - Znajdź swoje auto. Odszukaj i zlokalizuj gdzie jest Twój samochód - drogę wskazuje Sztuczna Inteligencja
掌上停车宝
Tafuta gari - Pata gari kila wakati!
Где машина? - Найти где ваш автомобиль припаркован. Автоматически найти путь назад с использованием искусственного интеллекта
Google Maps - Transit & Food
Waze Navigation & Live Traffic
KRL Access
Moovit: Public Transport Live
Qibla Finder, Qibla Compass AR
Schedules by Trafi
Parallel Space - Dual Multiple
iLocation: Here!
Find my Phone - Family Locator
Save Location GPS
Let It FLO
Spoten: Find my friends, kids
PARKEE
Avenza Maps: Offline Mapping
GPSPlus - GPS EXIF Editor